BANANA ZORRO

BANANA ZORRO
CINE CLUB

Friday, January 14, 2011

NI SWEET EASY OYSTERBAY


Ni Alhamisi wiki iliyopita ndani ya ukumbi wa Sweet Easy Oyster bay jijini Darisalaam.

Banana Zahir Ally akiwa kachili dauni kiaina huku shoo ndefu ikisongeshwa kibingwa huko jukwaani...
Hapa sasa ! Hebu angali jinsi watu walivyo changamka na 'mchizi' wao!

Wednesday, January 12, 2011

WANATISHA !



Nyota wa Bongo Flava Mangwea (kushoto) akishoo love na Abdul ambaye ni fundi mitambo wa The B Band katika ukumbi wa Maisha Club Alhamisi wiki iliyopita.Picha King Kif. 

Tuesday, January 11, 2011

NI BANANA ZORRO NA THE B BAND HAPA !


Msanii mkongwe kwenye gemu la Bongo Banana zorro( kushoto) akiwa na rafiki yake siku ya Alhamisi wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Sweet Easy Oysterbay jijini Darisalaam.Kila wiki tupo hapa jaman na tunawakaribisheni wote.

Tangu tarehe mbili mwezi huu , King Kif nipo na Banana Zorro na The B Band kama Promotion Manager.Pia, kuna majukumu mengine mengi ninayoyasimamia.
Huyu mjomba ni waiku nyingi mno kwenye bendi hii na alifanya mambo makubwa jukwaani , nitazidi kumtambulisha zaidi.....
Upendo mtupu hapa! Sam naye alitimba ndani ya mjengo.....

Hapa shughuli inapingwa kibingwa !
Saida (kushoto) akifanya mambo na mwenzake huku muda unakwenda!

Chapati zilicharazwa mno!

Sunday, January 9, 2011

NI PROMOTION MANAGER WANGU...

Anaitwa King Kif. Ni Mkurugenzi wa King Kif Productions ambayo ni kampuni inayojishughulisha na masuala ya promotions na hushauri kwa wasanii na wadau wa masuala ya burudani hapa nchini. Ni kaka wa muda mrefu kwenye gemu na sasa ninaye kwe BANANA ZORRO NA THE B BAND kama promotion manager.